Habari mwanablog. Karibu katika ukurasa wako pendwa unaokuletea makala nzuri na zakipekee ambazo zitakufanya upate mawazo mengi ya kibiashara na kufanya uondokane na umasikini ulio kithiri.
Leo nakuletea biashara 10 ambazo unaweza kukifanya zikakupatia kipato kikubwa Hadi 20000 kwa siku, 600,000 kwa mwezi na 7,200,000 kwa mwaka, na kukufanya ujipate kimaisha. Kumbuka Kila biashara unayo Fanya inahitaji mambo yafuatayo, wazo zuri la biashara, eneo zuri la kufanyia biashara, watu sahihi waanao izunguka biashara Yako,muda na mwisho lakini muhimu sana ni Uvumilivu. Biashara yoyote ukikosa vitu hivyo jiandae kufirisika hata kama ungepewa mtaji mkubwa kiasi gani usingeweza kufanikiwa.
Kumbuka katika biashara mtaji unaweza isiwe tatizo la kukufanya usifanikiwe ispokua mambo hayo niliyo yataja hapo juu.
Zifuatazo ni biashara kumi zenye kipato kikubwa.
1. Biashara ya miamala.
2. Biashara ya betting.
3. Biashara ya kukuza vocha.
4. Biashara ya kuonesha mpira.
5. Biashara ya kukuza supu.
6. Biashara ya kukuza nywele bandia.
7. Biashara ya kukuza mbogamboga.
8. Biashara ya kusafisha na kupaka rangi kucha.
9. Biashara ya kukuza na kurusha movies.
10. Biashara ya saloon.
0 comments: