Monday, August 12, 2024

TATIZO LA UWEPO WA ASIDI NYINGI TUMBONI, DALILI NA TIBA YAKE. Karibu tujifunze kwa pamoja

Ugonjwa wa Reflux ya Asidi

Je! una hisia inayowaka kwenye koo, wakati mwingine hutoa maji ya siki au tindikali kwenye koo?
Ugonjwa wa reflux ya asidi husababishwa wakati asidi ya tumbo inapita tena kwenye bomba la chakula. Reflux ya asidi inaelezewa kwa njia tofauti kama kuchoma moyo, indigestion na pyrosis. Wakati reflux ya asidi hutokea zaidi ya mara mbili ndani ya wiki, inajulikana kama ugonjwa wa reflux wa Gastroesophageal (GERD). Ikiwa itapuuzwa, reflux ya asidi inaweza kuongeza hatari ya saratani.

Reflux ya asidi husababishwa na kushindwa kwa sphincter ya gastroesophageal ambayo huzuia mtiririko wa yaliyomo kutoka tumbo hadi kwenye umio. Wakati sphincter inaposhindwa kufanya kazi ipasavyo, asidi hidrokloriki iliyopo tumboni husogea hadi kwenye umio, na kusababisha maumivu ya kifua au moyo kuwaka. Asidi hidrokloriki iliyopo tumboni husaidia usagaji chakula vizuri na kuua vijidudu na bakteria.




Dalili za tatizo hili ni pamoja na zifuatazo.

πŸ“ŽKupatwa na vidonda kwenye koo.


πŸ“ŽKuhisi kama kitu kimekukaba kooni.


πŸ“Ž Kuhisi chakula kinarejea mdomoni.


πŸ“Ž kilungurila(heart burn).

πŸ“ŽTumbo kujaa gesi.


πŸ“ŽKifua kuuma sana.


πŸ“Ž Kuhisi tumbo kuwaka moto.


 Watu wengi wenye kupatwa na gerd huhisi kuwa wana vidonda vya tumbo 



Kumbuka

Uwepo wa gerd inaweza kupelekea mtu kupata vidonda vya tumbo kwenye koo la chakula ambapo tatizo hili huweza kupelekea mtu kupata ngiri ya kifua(hiatal hernia) pamoja na kansa ya koo la chakula.


Fanya yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na uwepo wa asidi nyingi tumboni⤵️


πŸ“ŽKula na tafuna taratibu, kula chakula kisichokuwa na baridi sana au joto sanaa.


πŸ“ŽUsitumie chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni, usile muda mchache kabla ya kwenda kulala.


πŸ“ŽUsilale chali baada ya kula.


πŸ“ŽKula kiasi kidogo mara nyingi kadri uwezavyo, kiasi kingi cha chakula huchochea utolewaji wa asidi nyingi tumboni ambao huongeza severity ya tatizo.


πŸ“ŽUsitumie vyakula vya kukaanga, chemsha vyakula vyako.Vyakula kama maandazi, chips, vitumbua huongeza ukubwa wa tatizo.


πŸ“ŽUsitumie vyakula kama viazi, dagaa,maharage,  nyanya, chocolate,  tomato sauce, kitunguu maji, kitunguu swaum, vyakula vyenye caffeine kama energy drink pamoja na kahawa.

Usitumia maziwa fresh, mboga mboga za majani zilizopikwa kwa kukaangwa, zabibu, matunda yenye uchachu kama chungwa n.k


πŸ“ŽEpuka uvaaji wa nguo zenye kubana tumboni.


Muhimu zaidi, kuchukua hatua stahiki kukabiliana na changamoto hii.

Zungumza na dokta wako na atakusaidia kwenye hili.


KWA nini utumie dawa hii kutibu acid.

IJUE DAWA YA STOMACH ACID NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA ACID TUMBONI

Stomach acid ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya acid tumboni,gesi na kiungulia KWA sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.

Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii niπŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½


🍎 ZINC

madini haya ni mazuri katika mwili wa binadamu hutumika zaidi kuthibiti ongezeko la asidi tumboni na kupunguza madhara yake na kupunguza Kasi ya kuzalishwa KWA gesi na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula.


🍎 VITAMIN C

hii hutumika kupunguza dalili za acid KWA sababu huzalisha saliva na ute kwenye tumbo ambao hutumika KUONDOA sumu na madhara ya acid.


🍎 VITAMIN B12

Pia huondoa Kasi ya kuzalishwaji wa acid tumboni KWA kutibu kiungulia kikali.


🍎 VITAMIN A,C,D

hii ni Antioxidant ambazo ni imara zaidi kwenye KUONDOA tatizo la asidi tumboni ambazo pia hulinda mwili na maradhi mbalimbali.


🍎MAGNESIUM.

haya ni madini ambayo Yana umhimu Sana katika mwili wa binadamu Mara nyingi antiasidi huungana na magnesium na mchanganyiko huu huondoa acid,gesi na maumivu kifuani unapohisi chakula kimekwama.


🍎 CALCIUM

calcium na carbonate na calcium citrate hutumika kama antiasidi KWA kupunguza kiungulia.



0 comments: